TONY MTAKAYOTE
Senior Member
- Jan 24, 2013
- 150
- 69
Namna ya kutengeneza website ni mtihani kwangu. Kwa anayejua naomba anielekeze. Karibuni waelekezaji....
Hakuna shortcut lazima uisome. Kwa kuanzia unapaswa:
- Ujue page layout (Markup) ambayo inafanywa na HTML
- Lazima ujue kuweka Client Specific effects and pia interaction na data ktk server (Web 2.0). Hii inakuhitaji ujue Javascript
- Unahitaji ku process requests zote na pengine kuhifadhi data katika server yako. Hapa unahitaji SSL kama PHP, ASP, JSP et al
- Kwa ziada unahitaji kupendezesha web yako na styling, inafanywa na CSS
Kwa hiyo lazima kwa uchache ujifunze hayo. Kuna resources nying sana kama w3schools na the like, google itakusaidia.
Ila huwa nakusanya materials kwa beginners unaweza kupitia hapa na kuona kama yatakusaidia.
Namna ya kutengeneza website ni mtihani kwangu. Kwa anayejua naomba anielekeze. Karibuni waelekezaji....
nahitaji MTU wa kunisaidia kutengenrza website ya kanisa