Msaada namna ya kuteka hisia za binti/mwanamke kimapenzi

Tembea uone mkuu kuna makahaba wazuri utazania maraika amepotea njia katokea duniani unakuta hata mke wako anaingia mara100 kwa uzuri wa kahaba huyo nenda mahotel makubwa achana na hawa wa barabarani.

Na ukifika kwenye hayo mahotel hutaishia kuomba mungu akupe huyo kahaba bali utaanza kumlaumu ni kwanini amekuleta uje kuona mtoto mzuri namna hiyo wakati huna uwezo wa kumpata
Yote yanawezekana,
Tunatofautiana wishes,
Binafsi sijawaza kuvuta kahaba,

Uzuri wa hii kitu ukiwish kichaa inakuletea kweli
 
Nina soft copy ya JOSEPH MURPHY kitabu kinaitwa the POWER OF YOUR SUBCONCIOUS MIND ,
Nacho ni kizuri kaelezea vitu vingi kuhusu maisha na mahusiano,

Hiki kitabu kimenipa confidence ya kutosha na madini ya maana,
Nakiweka soon ngoja niki upload
 
Mkuu bado haujawahi kuisikia hiyo method?
hiyo ni ile ambayo inaambatana na dharau, majigambo na ubinafsi,
Yani ni ile state ya kuamini kwamba wewe ni bora kuliko yeye, kwahiyo hata awe mzuri kiasi gani lazima ajione hana thamani mbele yako,
na unaweza ukamkosoa au ukamyumbisha kwa kitu chochote tu kisha unakula kona,
kuanzia hapo mwanamke lazima umuachie na mawazo juu yako na ni rahisi sana kung'oa mzigo, mfano unaweza ukamwambia tu
'' Ningekupenda ila unaniudhi unavyovaa magauni, lakini hope utabadilika na ukifanya ivyo utaziteka hisia zangu''
Kwishaa kaziiii yani hapo unakuwa umeshampa kazi ya kuanza kuact vile unavyotaka wewe ili aziteke hisia zako, si unajua tena wanawake wanapenda attention??
ma.......ni..na stunter. Hii style bint lazima achanganyikiwe
 
Pole sana...

Give her attention but don't be to desperate to win her...

Give her security but don't be a bully for nothing...

Comfort but don't be a lunatic...

Give her pleasure but remember to much of anything is harmful...

Take care of her but don't spoil her to much...

Treat her right keep your eyes open...


Last follow your heart but carry your brain with you...




Cc: mahondaw
Point ya mwisho Ndo kilakitu
 
Usitake ku fake style ya maisha upekee ulio nao ndio kitu pekee kitakachomteka ukiishi kwa kuigiza kama utakavyoshauriwa hapa ni wazi kwamba hautadumu uhalisia wako utajidhihirisha tu ukiishi mtindo mpya huenda ukamvutia lakini utajisahau na kurudi awali ishi nae kama ulivyo kama ni kukupenda atakupenda hivyohivyo
 
Naona mlivotawaliwa na uzinzi vichwani mwenu.......................................................................................
 
Back
Top Bottom