Msaada namna ya kuteka hisia za binti/mwanamke kimapenzi

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
726
475
Wazee naombeni mbinu ya kumteka mwanamke hisia zake na je mwanaume anafanyaje ili awe romantic kwa mwanamke na kuweza kutunza hisia za mwanamke
Mbinu niliyokua natumia mimi
nikiwa kwenye group huwa najiweka kuwa tofauti na wenzangu kama ni waongeaji au waropokaji huku bint wanaemshobokea mm nampuuza hatimae hujilengesha mwenyewe napiga mechi ya mbali natulia kimya najifuta mdomo nisijulikane nimekula naombeni mbinu nyingine nimegundua hii ni ya kishamba
 
Njia nyengine tumia 'POWER OF LETTING GO''
japokuwa zipo za aina nyingi, ila ni tamu saana hizo
Mkuu STUNTER,
Mimi hutumia power of attraction kwa kufuata vipengele vinne vya SECRET PROCESS na inanisaidia sana yaani ninaweza kujikuta nimemuagiza kitu mwanamke aninunulie akikileta nikitaka kumrudishia pesa yake lazima agome na huwa wanasema NIMEKUSAIDIA TU.

Siraha yangu ni hii hapa chini
77b80bfc228b2875e4afc8274b5abeaa.jpg

Mkuu hebu fafanua kidogo hiyo mbinu yako
Tubadirishane MAARIFA
 
Mkuu bado haujawahi kuisikia hiyo method?
hiyo ni ile ambayo inaambatana na dharau, majigambo na ubinafsi,
Yani ni ile state ya kuamini kwamba wewe ni bora kuliko yeye, kwahiyo hata awe mzuri kiasi gani lazima ajione hana thamani mbele yako,
na unaweza ukamkosoa au ukamyumbisha kwa kitu chochote tu kisha unakula kona,
kuanzia hapo mwanamke lazima umuachie na mawazo juu yako na ni rahisi sana kung'oa mzigo, mfano unaweza ukamwambia tu
'' Ningekupenda ila unaniudhi unavyovaa magauni, lakini hope utabadilika na ukifanya ivyo utaziteka hisia zangu''
Kwishaa kaziiii yani hapo unakuwa umeshampa kazi ya kuanza kuact vile unavyotaka wewe ili aziteke hisia zako, si unajua tena wanawake wanapenda attention??
 
Mwanamke ana vitu vingi sana anavitaka,ukijua kimoja ukajau umemuweza unajidanganya,ila the best of all mfanye awe na hofu na Mungu na pia mjenge kiimani na usiende kwenye ibada ukamuacha nyuma jitahidi mara zote muende wote kwenye ibada
 
Mkuu big up kwa mbinu yako,

Lakini inakinzana na makombora yangu,
Law of attraction ni zoa zoa , unaweza jikuta unawabeba wengi wengi kwa wakati mmoja,

Nilikuja kugundua kitu kimoja kwa nini mbinu zangu zinafanikiwa, iko hivi unapokuwa unajenga uhusiano (mazoea) au kutongoza jambo aliwazaro mwanamke kwa wakati huo ni ndoa tu . Haijarishi ni binti au ni mke wa mtu, ndio maana wakigundua inacheat huwa wana wivu sana.

Law of attraction ni kiboko yaani utakuwa unajichagulia umtakaye.
 
Duh, hebu nipe mfano wa hiyo lawa of attraction,
au unawadanganya utawaoa?
 
Mwanamke ana vitu vingi sana anavitaka,ukijua kimoja ukajau umemuweza unajidanganya,ila the best of all mfanye awe na hofu na Mungu na pia mjenge kiimani na usiende kwenye ibada ukamuacha nyuma jitahidi mara zote muende wote kwenye ibada

Sasa mkuu ukitaka papuchi si ataanza story sijui yesu kasema ivi mara akupe neno la mchungaji utapata kyuma kweli
 
Pole sana...

Give her attention but don't be to desperate to win her...

Give her security but don't be a bully for nothing...

Comfort but don't be a lunatic...

Give her pleasure but remember to much of anything is harmful...

Take care of her but don't spoil her to much...

Treat her right keep your eyes open...

Last follow your heart but carry your brain with you...

Cc: mahondaw
 
kuna softcopy?? Ila ingependeza ungetoa japo mfano mmoja kama mimi nilivyoutoa,
Soft copy yake sina,
Ni kidogo but kina formula nzito,
Nikielezea nitaruka vingi,

Nilikuwa nipo bookshop nikawa napiga story na mzungu mmoja kuhusu motivation books, akamwambia mhudumu alete kitabu kinacho itwa THE SECRET, kiukweli hiki kitabu ni balaa.
 
Mkuu big up kwa mbinu yako,

Lakini inakinzana na makombora yangu,
Law of attraction ni zoa zoa , unaweza jikuta unawabeba wengi wengi kwa wakati mmoja,

Nilikuja kugundua kitu kimoja kwa nini mbinu zangu zinafanikiwa, iko hivi unapokuwa unajenga uhusiano (mazoea) au kutongoza jambo aliwazaro mwanamke kwa wakati huo ni ndoa tu . Haijarishi ni binti au ni mke wa mtu, ndio maana wakigundua inacheat huwa wana wivu sana.

Law of attraction ni kiboko yaani utakuwa unajichagulia umtakaye.
mkuu mimi ni kama wewe natumia Law of attraction na zinasaidia sana sema bado sijapata msichana wa ndoto zangu maana uku nilipo ni bush sana hakuna watoto wazuri kama wa majiji makubwa eg.dar,arusha ila so far nawapata wanaokaribia viwango

Me nasoma kitabu cha david de angelo kinaitwa DOUBLE YOUR DATING
 
Back
Top Bottom