JOAQUEM
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 2,020
- 1,673
wakuu nina simu yangu aina ya be.united.. Ambayo ni smartphone.... Sasa tatizo limekuja baada ya mtu ambaye nilimpa simu kukosea kuingiza password ambazo nilikuwa nimeweka..(pattern password) na kusababisha kublock line na pia simu... Sasa inanidai nisign in kwakutumia google account...,,, nimefanya ivyo lakini inaniambia invalid username or password.. na wakati niweka username na password zote ni corrent na ndo nilikuwa nazitumia playstore ...