ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,591
Habarini
Nahitaji msaada nina simu aina ya Google smartphone 748 siwezi kuset camera kwani nikipiga picha inatoa dark na wakati mchana na wakati mwingine inakuwa haionekani picha vizuri kwa mtu anayejua anisaidie namna ya kusetting na namna ya kupata app. za jamiiforum pls