Habari wana JF
naomba kujuzwa jinsi ya kutengeneza popcorn tam(sukari)..nko na mashine ya kutengenezea ila naishia tu kupika za chumvi sa napenda kuwabadilishia wateja wang flavour il nisiwapoteze...
Mwenye ujuzi naomba anisaidie plz, natanguliza shukran kwa wote mtaochangia iwe kwa ushaur au kunielekeza.
Niliona pale mlimani city wao wanaweka sukar kwenye machine ya popcorn baada ya kuweka mahindi, ila kwa pia wanakosea.... Kww ninavyojua mimi kuna kitu inaitwa caramel sijui inapatikaba wapi hiyo ndo inatumiwa na wenzetu wa nje kufanya sweet popcorn