kinandinandi
Senior Member
- Apr 3, 2015
- 183
- 142
Ndugu naomba msaada niweze kupata na kufanikiwa kupata number zakuweza kuzitumia WhatsApp za free nikijaribi kuseach nazipata za kulipia ambazo zinanitaka nijaze taarifa za Kadi ya benk yangu ambapo Mimi napata uoga kuhusu hilo