MSAADA: Namna ya kupata SABC channels bure

MSAADA: Namna ya kupata SABC channels bure

Cheki Bobu

Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
54
Reaction score
21
Habari wakuu,

Kwa muda mrefu nilikuwa nimekuwa nikitafuta namna ya kuzipata SABC (South Africa) channels bure. Nilichokijua ni kwamba SABC zilikuwa zikipatikana Bure kupitia satellite ya Intelsat 20 Ku (Zamani Panamsat 7/10). Sasa nimegundua kwamba hazipatikani tena...

Naomba kujua naweza kufanya nini ilikuzipata.
 
Pale walizikata zikabaki redio za SABC na citizen ya Kenya sijui kwa sasa.
 
Back
Top Bottom