Lokii
JF-Expert Member
- Sep 23, 2016
- 709
- 2,084
Wadau tangu nimenunua hii simu huwa sipati notification za apps hata kama nimewasha data ni mpaka nifungue app. Mi nimezoea ukiwasha tu data notifications za app mbalimbali zinaanza ku-pop up kwenye screen panel lakini kwa hii simu naona ni tofauti, hata kama data ipo on notifications haziji mpaka nifungue app ndo niweze kupata notification za app husika. Nimejaribu kuchek settings lakini naona kama zipo sawa au ni simu yenyewe ndo ilivyo