inawezekana mkuu japo ni procces ndefu kwelii aiseee ingia google utaona hii mimi nilishaiona toka 2012 hukoDecoder huwa zinapokea internet na siyo kutoa internet!!
Basi nikifika town kwenye internet ntachek mkuu! Ahsanteinawezekana mkuu japo ni procces ndefu kwelii aiseee ingia google utaona hii mimi nilishaiona toka 2012 huko
Huku nipo remote saaana! Yaani ndo airtel wameweka mnara unaserve huduma za sms, kupiga na kupokea simu hakuna internet ya maana!zipo dikoda maalumu za internet mkuu, wanaita satelite internet unaweza ukaangalia hizo service sema bei zao za vifurushi ni ghali sana.
kuna jamaa wanaclaim wataanza kutoa internet bure muda si mrefu kwa ajili ya Africa na Asia wanajiita quika wacheki hapa
Quika | Introducing the world's first free satellite internet in Africa, Iraq and Afghanistan | Launching 2018
pengine inaweza ikakufaa
pia upo remote sana hata halotel na smart hakuna? unatumia simu gani?
Smart huku hatuijui halotel na voda mpaka upande juu ya mti tigo ni zero kabisa![emoji24]zipo dikoda maalumu za internet mkuu, wanaita satelite internet unaweza ukaangalia hizo service sema bei zao za vifurushi ni ghali sana.
kuna jamaa wanaclaim wataanza kutoa internet bure muda si mrefu kwa ajili ya Africa na Asia wanajiita quika wacheki hapa
Quika | Introducing the world's first free satellite internet in Africa, Iraq and Afghanistan | Launching 2018
pengine inaweza ikakufaa
pia upo remote sana hata halotel na smart hakuna? unatumia simu gani?
smart ipo maeneo mengi sema watu hawana kifaa cha quad band cha kutestia.Smart huku hatuijui halotel na voda mpaka upande juu ya mti tigo ni zero kabisa![emoji24]