Msaada: Namna ya kupakua "video status" Facebook

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,559
Reaction score
29,416
Yaani kujua namna ya kuchukua video kwenye status Facebook.

Nimedownload ile app ya Video Downloader; ya WhatsApp nimefanikiwa lakini ya Facebook naona kwa upande wa status nashindwa.

Hii ya WhatsApp hadi kwenye status inakubali, sina shida nayo, na Facebook inakubali kwenye page kawaida ila kwa upande wa status tu ndo nimeshindwa.

Naomba msaada tafadhali.
 
Tumia SNAPTUBE website au App. Unaenda kwenye iyo video una copy URL hafu unaenda kwenye hiyo App una-paste, then itauliza PLAY au Download? Utajiongeza.
 
Tatizo ni kuwa hiyo video kwenye stutus haina sehemu hiyo ya kopi URL
Tumia SNAPTUBE website au App. Unaenda kwenye iyo video una copy URL hafu unaenda kwenye hiyo App una-paste, then itauliza PLAY au Download? Utajiongeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ