Msaada namna ya kumpata Ras Simba!

moghasa

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
1,084
Reaction score
1,254
wakuu habari.

Naomba kama kuna yeyote anayeweza kunielekeza kwa ras simba au hata namba ya simu please!

shukrani wakuu!
 
Niliwahi kuona bango lake mitaa ya Banana mkono wa kushoto kama unaelekea mjini (ukiwa usawa na gate la Aviation house)
 
kuna mtu kanambia yupo mchikichi! je kuna ukweli.
 
Nadhani ni magomeni ndo centre yake kuu jaribu hapo kama sikosei mwembe chai
 
Niliona bango lake pale kona ya southern highland schools , mbeya, nenda kaulizie maeneo hayo utampata…!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…