Msaada; namna ya kulipia paid application kwenye. BlackBerry Application World

Msaada; namna ya kulipia paid application kwenye. BlackBerry Application World

Yoso

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
1,852
Reaction score
3,348
Heshima wakuu
Naomba mwenye maujanja hayo anisaidie namna ya kununua paid application
 
Fungua account ya BB app World, register bank card yako, anza kununua. It is that simple. inachukua dakika chini ya tano
 
Asante mkuu Millah, hiyo kadi ya benki inayotakiwa ni master card au card yoyote ya ATM?
 
Hapo nami nataka jua ni master card au?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu Millah bado tunahitaji msaada wako.
 
Back
Top Bottom