Z Zedikaya Senior Member Joined Aug 10, 2011 Posts 119 Reaction score 14 Oct 19, 2012 #1 Huwa nnatumia simu katika kupata huduma,tatizo ni kuwa, kwa sasa na wakati mwingine picha zinazofunguka huwa ni ndogo sana kuweza hata kuzitambua, na nyingi hazikubali kukuzwa, naombeni msaada wa kurekebisha hilo, au tatizo ni maderator?
Huwa nnatumia simu katika kupata huduma,tatizo ni kuwa, kwa sasa na wakati mwingine picha zinazofunguka huwa ni ndogo sana kuweza hata kuzitambua, na nyingi hazikubali kukuzwa, naombeni msaada wa kurekebisha hilo, au tatizo ni maderator?
Singasinga JF-Expert Member Joined Aug 27, 2011 Posts 2,742 Reaction score 3,319 Oct 20, 2012 #2 Angalia kwenye settings za internet or browsers