Habari hivi karibuni nilinunua dvd lengo langu niikop kwenye lap top yangu
Nilipojaribu kukop baadala ya kuwa 4 gb ikazidi ukubwa nikaamua kutumia power iso bado ikashindikana
kwa kutumia hiyo power iso nikakop kwa mfumo wa bin file ikakubali lakini kuconvert bado kibarua kuna namna yeyote msaada plz