glory to yhwh
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 1,025
- 1,385
Nilinunua kifurushi cha mwezi voda kwa bahati nzuri kuna dakika na data zimebaki na muda wa mwisho wa matumizi ni kesho
Je kuna namna naweza kuokoa hilo salio?
Je kuna namna naweza kuokoa hilo salio?