Mtafiti Pro
Member
- May 5, 2018
- 20
- 7
Habari wakuu,poleni na majukumu.
Naomba mwenye uelewa mzuri juu ya namna ya kujisajili ili kuwa mtahiniwa binafsi wa mtihani wa kidato cha 6.Nimehitimu kidato cha 4 mwaka 2010.
Pili,napendelea kuchukua tahasusi ya EGM kutokana na malengo niliyojiwekea.Alama zangu za kidato cha 4 ni:
B/Keeping A
B/Math B
History C
mengineyo 6 ni D.
Niko DAR je ni mahali gani wanapatikana walimu wazuri wa ECONOMICS,GEOGRAPHY NA MATHS?
Natanguliza shukran