Msaada: Namna ya kuhairisha masomo Chuo kikuu

Msaada: Namna ya kuhairisha masomo Chuo kikuu

nsharighe

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
1,458
Reaction score
2,245
Wakuu Habari za Muda huu, Naomba kufahamu hatua za kufuata ku postpone masomo ili nisome mwakani...

Ni hayo tu
 
Wakuu Habari za Muda huu, Naomba kufahamu hatua za kufuata ku postpone masomo ili nisome mwakani...

Ni hayo tu
Andika barua kwenda chuo ulichochaguliwa ikieleza na sababu zilizokufanya kuhairisha
 
Wakuu Habari za Muda huu, Naomba kufahamu hatua za kufuata ku postpone masomo ili nisome mwakani...

Ni hayo tu
kama sijakosea ni lazma usome si chini ya mwaka mmoja ndio u-postpone na utaendelea pale ulipoishia, ila kama umechaguliwa na umeshindwa kwenda kuripoti mwaka huu piga simu chuoni kuwa huna uwezo wa kuripoti ili mwakani uombe upya(hata usipotoa taarifa watakufuta tu kwenye system kama hutaripoti ndani ya mwezi mmoja)
 
Uongo
 
Kwa nn usifike ofisi ya msajili wa chuo chako ukapata utaratibu kwa hicho chuo ulipo..
 
uongo wangu uko wapi? hebu jibu kwa hoja ili jamaa apate jibu sahihi basi.
iyo ya kusema sijui lazma awe amesoma mwaka mmoja siokweli.
la msingi ni kufanya usajili ata kama ni siku moja unaandika barua ya kuhairisha.
kama hujisajili haiwezekani kuhairisha, potezea tu wao watakufuta kwny system na mwakani utaaply upya
 
Samahan ili uhairishe mwaka baada ya kusajiliwa inabidi ulipe direct cost pamoja na nusu ya ada ndo uweze kusajiliwa na kuandika barua au?
Sidhani,japo ukilipa ukirudi kuanza hutolipa tena.
 
Na kama umepata mkopo na unahitaji kuahirisha mwaka ndo mkopo umeenda na itabidi uombe tena mwakani au kuna utaratibu mwingine?
Kuna utaratibu unaufataa.ukirudi mwakani unaendelea kua mnufaika
 
Samahan ili uhairishe mwaka baada ya kusajiliwa inabidi ulipe direct cost pamoja na nusu ya ada ndo uweze kusajiliwa na kuandika barua au?
hujakosea na ndo maana halisi ya kufanya usajili
 
iyo ya kusema sijui lazma awe amesoma mwaka mmoja siokweli.
la msingi ni kufanya usajili ata kama ni siku moja unaandika barua ya kuhairisha.
kama hujisajili hakuna haiwezekani kuhairisha, potezea tu wao watakufuta kwny system na mwakani utaaply upya
kuna jamaa yangu mwaka juzi alikosa mkopo akazichanga akajisajili chuo akasoma semister moja tu pesa zikakata nikamshauri aende chuoni kwao aulize utaratibu wa kuhairisha masomo ili mwaka unaofuata andelee na semister ya pili ila wakamkatalia wakamwambia mpaka amalize mwaka wote ili akirudi aanze 2nd year, ikabidi aandike barua ya kuacha chuo kwenda chuo na tcu na mwaka jana kaomba kama 1st year na kapata chuo kingine pamoja na mkopo anaendelea fresh.
 
Kila chuo kina taratibu zake, fanya kuwasiliana na uongozi wa chuo au nenda chuoni kabisa wakupe taratibu
 
Ungeeleza A to Z nini kinaendelea ili watu wakusaidie,umeeleza juujuu sana kiasi kwamba ni ngumu mtu kukupa ushauri sababu hajui tatizo lako
 
habari wakuu.naombeni msaada namna ya kujitoa ktk syatem ya chuo. maana hadi sas sijafanikiwa kurudi chuo tangu nahairisha masomo mwakwa 2017/18 ambapo nilisoma semistr 1 pekee .nataka nijitoe ili nikiwa tayari niwe free kuapply chuo chchte.Ni hayo t, msaada nifanyeje
 
Back
Top Bottom