poposindege
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 456
- 175
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu.
nilikuwa nataka kufuta programu lakini computer isitambue tena hata kama nikitaka kuinstall tena hiyo program niliyoweka mwanzo.
Asanteni nahitaji msaada wenu