Msaada: Namna ya kufuta data moja kwa moja.

Baby Doll

JF-Expert Member
Aug 9, 2017
4,716
21,521
Habari zenu.
Naombeni msaada jinsi ya kufuta vitu moja kwa moja kwenye simu , yaani nikifuta nimefuta hata mtu akifanyaje visirudi.
Maana huwa nafuta halafu mtu baadae anavisearch vyote vinarudi. Ikiwa ni pamoja na picha na video
Natanguliza shukrani.
 
fanya factory data reset pia inawezekana Email yako ina izo data bas akikisha unafuta mpaka kwenye Email yako ili kuavoid data backup
 
Me nilikuwa na format Simu yangu aina ya I phone 6 kuja picha hazi kuwekwa kwenye I cloud hivyo nime poteza kila kitu naombeni msaada wenu niweze kupata picha zangu
 
Habari zenu.
Naombeni msaada jinsi ya kufuta vitu moja kwa moja kwenye simu , yaani nikifuta nimefuta hata mtu akifanyaje visirudi.
Maana huwa nafuta halafu mtu baadae anavisearch vyote vinarudi. Ikiwa ni pamoja na picha na video
Natanguliza shukrani.
Unatumia sim aina gani?
 
Ingia Storage,, fungua Internal storage , fungua Other ,

Anza na thumbnails futa.
Nenda DCIM futa thumbs kule pia
Scrow hadi Wasap fungua media,,,, futa sent item zote.
Nadhani itakuwa umemaliza.
 
Me nilikuwa na format Simu yangu aina ya I phone 6 kuja picha hazi kuwekwa kwenye I cloud hivyo nime poteza kila kitu naombeni msaada wenu niweze kupata picha zangu
Tumia mobisaver data recovery for iphone au iphone data recovery yyte itaweza rudisha.
 
Back
Top Bottom