T The_choosen1 Member Joined Jun 30, 2017 Posts 5 Reaction score 0 Jul 24, 2017 #1 Habari zenu..... Mwenye uelewa namna ya kufuta chat history on whatsap hata mtu akifanya back up asikute chat histories and messages anaeelewa Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu..... Mwenye uelewa namna ya kufuta chat history on whatsap hata mtu akifanya back up asikute chat histories and messages anaeelewa Sent using Jamii Forums mobile app
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,261 Reaction score 72,431 Jul 24, 2017 #2 Ni simple tu..nenda kwenye settings>>>Chats>>>chat history>>>Delete chat history Halafu pia kule kwenye chat back up disable kabisa
Ni simple tu..nenda kwenye settings>>>Chats>>>chat history>>>Delete chat history Halafu pia kule kwenye chat back up disable kabisa