1.tumia web ya kawaida mfano google chrome au nyingine
2.type log in instagram
3.baada ya hapo log in accont yako
4. nenda kwenye settings
5. tafuta sehem walioandika disable account
6.baada ya hapo uta confirm kwa kuandika pasword
.
account yako haitaonekana tena mpaka siku ukitaka kuirudisha