Msaada: Namna ya kufika Matema beach

Msaada: Namna ya kufika Matema beach

Nenda mbeya standi ya nane nane ,panda gari za kwenda Kyela, ukifika Kyela utakuta gari za kwenda matema ,kuhusu lodge zipo za hadhi mbali mbali kuanzia ef5 na kuendelea

Ushauri kidogo
Kwa sasa kuna beach Mpya inaitwa mwamyange beach, ipo ukanda huu wa Kyela mjini, yani ukifika Kyela unachukua Boda Boda nauli ef4 hadi ef5, gari zipo zinaenda katumba Ila sio nyingi ni za kuvizia vizia Sana maana Kyela usafir Mkuu ni baskeli na sasa ni pikipik hivyo daladala hazina wateja Sana .

Beach ipo poa na Ina sehem nzuri za kupumzika na vyakula
 
Thank u u
 
Back
Top Bottom