Lenyox
Senior Member
- Dec 7, 2011
- 174
- 360
Hellow guys, meplan kwenda matema beach monday nikitokea mbeya mjini. Naomba kusaidiwa a,b,c z za kufika huko. Ikiwa ni pamoja na transport cost kwa public transport, bei ya malaz na gharama nyngnezo zote. Na muda wa safar kutoka mbeya mjini. Na ikiwa panafaa kwenda hata hiki kipindi cha mvua.
