kama pm tu anashindwa kwa hao mods ndo ataweza...........Omba access kwa mods
Andika vizuri kwanza.........Kixhwa cha habari tajwa hapo juu.
Naombeni msaada namna ya kwenda kwenye pm ya mwingine.
Ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app
ID yako inaandikwaje? genius / ginius?Kixhwa???- bado una utoto wa fb
Hahhahaha [emoji1] msaidie sskama pm tu anashindwa kwa hao mods ndo ataweza...........
Lakini kabla ya kwenda huko pm vua viatu mlangoni na uingie kinyumenyume.....!Omba access kwa mods