pastor muyamba JF-Expert Member Joined Nov 15, 2016 Posts 252 Reaction score 135 Aug 5, 2018 #1 Habari ya jioni wadau Naomba kujua namna ya kubadili JINA kwenye avatar yangu hili JINA LA pastor linanihukumu ,msaada pls
Habari ya jioni wadau Naomba kujua namna ya kubadili JINA kwenye avatar yangu hili JINA LA pastor linanihukumu ,msaada pls
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,054 Aug 5, 2018 #2 Andikia Mods Ujumbe juu ya tatizo lako.
lup JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 2,514 Reaction score 2,744 Aug 5, 2018 #3 Fungus tu account ingine mkuu
kluger JF-Expert Member Joined Jun 16, 2016 Posts 2,093 Reaction score 1,905 Aug 5, 2018 #4 Mara paaap! Unauvua upastor![emoji28]
RASCO BOY JF-Expert Member Joined Jul 29, 2018 Posts 428 Reaction score 485 Aug 5, 2018 #5 Ha ha ha ha kwanza nijue unataka kujiita jina gani....
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,929 Reaction score 134,023 Aug 5, 2018 #6 hakuna namna tena
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,929 Reaction score 134,023 Aug 5, 2018 #7 lkn pia unaweza ku-share la kwangu km utapenda
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,858 Reaction score 82,457 Aug 5, 2018 #8 Ushapigwa cha mbavu PM wewe
katib mkoa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 1,573 Reaction score 2,167 Aug 5, 2018 #9 Ubafili?
pastor muyamba JF-Expert Member Joined Nov 15, 2016 Posts 252 Reaction score 135 Aug 5, 2018 Thread starter #10 chaliifrancisco said: Ushapigwa cha mbavu PM wewe Click to expand... Hamna
pastor muyamba JF-Expert Member Joined Nov 15, 2016 Posts 252 Reaction score 135 Aug 5, 2018 Thread starter #11 katib mkoa said: Ubafili? Click to expand... Ni makosa ya kazi