Habari wadau wa JF. Mimi ni mtumishi wa serikali kwa miaka 8,idara ya elimu nimejiendeleza na kupata shahada ya maendeleo ya jamii.naombeni mawazo yenu hatua zipi nifuate ili niweze kubadilisha idara.
Kwanza karipoti kwa mwajiri wako mara baada yakumaliza masomo. Pili peleka vyeti vyako TSD ukiambatanisha na barua yakuomba kubadilishiwa muundo wa mshahara na kazi. Barua hiyo utaipeleka pia kwa afisa utumishi kwani wao ndio wanahusika wakubwa. Watakufanyia k2 kinaitwa "recategorization". Mbali na kuandika barua pia nenda ukaonane nao face2face ukiwaomba wakufanyie hivyo.
Habari wadau wa JF. Mimi ni mtumishi wa serikali kwa miaka 8,idara ya elimu nimejiendeleza na kupata shahada ya maendeleo ya jamii.naombeni mawazo yenu hatua zipi nifuate ili niweze kubadilisha idara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.