Msaada: Namna ya kubadili cheo katika Kada ya Afya

Eddy Van

New Member
Joined
May 26, 2022
Posts
3
Reaction score
0
Habari jamani

Naomba kufahamu juu ya kubadilisha cheo. Niliajiriwa kama Muuguzi mwaka jana mwezi wa saba wakati huo nilikuwa nimesoma Diploma ya Uuguzi vyeti vimetoka mwaka huu mwez wa pili

Je, kubadilishwa cheo ni mda gan unachukua?
 
Inategemea na mwajiri na Afisa Utumishi maana mimi nilibadilishwa cheo mwaka huu wakati cheti nilipeleka mwaka jana
 
Oky sawa thanks...duh hapo inaonesha ni kukomaa nao tu
 
Peleka kwanza cheti utumishi kama wako vizuri haitachelewa sana
 
Uliajiriwa kama muuguzi na ulisoma diploma ya uuguzi? Sijakuelewa hapo mkuu sasa unataka utambulike kama nani?
 
Yan niliajiriwa na certificate mda huo nilikuwa ndo nmemaliza diploma nasubiri vyet vya diploma
 
Back
Top Bottom