Msaada namna ya kuandika PORTFOLIO

Msaada namna ya kuandika PORTFOLIO

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,589
Bandugu habari

naomba mnisaidie namna ya kuandika PORTFOLIO sijui inaandikwaje kwani nimeambiwa
nitume Portfolio kuna sehemu ya kazi nataka kwenda kufanya hivyo naomba mnisaidie
portfolio inaandikwaje kwani sijawahi kuandika hata siku moja na hata hapa ninapofanya
kazi hawajawahi kuniomba nilete hiyo portfolio, hivyo nataka kuchange mazingira ya kazi
nimepata sehemu ingine wanataka Portfolio nisaidieni marafiki zanngu

siku njema
 
hongera sn kw kupata kaz sehemu nyngne bac km ukiondoka 2julishe nac 2sio na kaz 2jarbu kuomba hyo nafac iliyoiacha waz,hop utasaidiwa kuhusu omb lako.
 
Nina doc fupi hapa inaweza kukupa mwanga khs hiyo portfolio, bahati mbaya sijui namna ya ku-attach doc hapa, au vipi nielekeze.
 
Bandugu habari

naomba mnisaidie namna ya kuandika PORTFOLIO sijui inaandikwaje kwani nimeambiwa
nitume Portfolio kuna sehemu ya kazi nataka kwenda kufanya hivyo naomba mnisaidie
portfolio inaandikwaje kwani sijawahi kuandika hata siku moja na hata hapa ninapofanya
kazi hawajawahi kuniomba nilete hiyo portfolio, hivyo nataka kuchange mazingira ya kazi
nimepata sehemu ingine wanataka Portfolio nisaidieni marafiki zanngu

siku njema

Portfolio siyo ya kuandika isipokuwa ni faili lako lenye mkusanyiko wa shughuli zako ulizokuwa unafanya, kwa mfano wewe kama ni banker lazima utakuwa na faili lako la nyumbani linalokusanya shughuli zako zote za kiofisi na barua zozote ulizowahi pengine kupewa kama promotion au ufanyakazi bora.~ Kazi njema mkuu.
 
Nipe pesa nikuuzie ya kwangu......naiuza bei cheee tu niliinunua china. Au nikuagizie yKo? Unataka ya rangi gani????

Serious....ni taarif zako za utendaji wako......kidogo inafanana na CV. Just google upate samples
 
asante sana nashukuru kwa kunifumbua macho best asante sana ubarikiwe acha nianze kufanyia kazi ushauri huu
Portfolio siyo ya kuandika isipokuwa ni faili lako lenye mkusanyiko wa shughuli zako ulizokuwa unafanya, kwa mfano wewe kama ni banker lazima utakuwa na faili lako la nyumbani linalokusanya shughuli zako zote za kiofisi na barua zozote ulizowahi pengine kupewa kama promotion au ufanyakazi bora.~ Kazi njema mkuu.
 
Wakuu hakuna anayejua jinsi ya ku-attach doc hapa? nataka nimuwekee huyu dada asome zaidi kuhusu portfolio
Ila kama alivyosema Bunguabongo ni kama unajaribu kumuonyesha huyo prospective employer wako skills ulizonazo ambazo zinaendana na kazi unayoomba

make sure you include some visual examples of your work that are related to the job you are seeking
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom