Wakuu,
Husika na kichwa tajwa hapo juu
Nimekuwa ''nikiinjoi'' hii wasap isiyo halali kwa muda kidogo, lakini tatizo hunishinda kwenye kui-upadate yaani nikijaribu nashindwa kabisa Mara matangazo mengi mwishoni hunipoteza kabisa.
Nimekuwa nikiifuta na kuipakua upya kama mbadala wa kui-upadate lakini napoteza vitu Vingi kwa njia hiyo, hivyo naomben msaada kwenu.