Thankx mshihiri I will work on it.
wadau ninamoderm ya huawei ya voda E303, IMEI: 865994010511259 na natamani kuitumia kwa line za mitandao mingine ila sina maujanja hayo. :help: please.
Should you fail please look at my signature and take my number
Helo msaada hapo, Mimi nilitumia maelezo hayo kwenye line ya Airtel. lakini nilipofika hatua ya kuflsh ikakubali na nilipofika hatua ya kurestore ikagoma kwa kuniambia kuwa hakuna com. inayotambuliwa.
mchezo umeishia hapo na mpaka sasa moderm hata nikichomeka hairecognize tena. nifanye nini kuiweka sawa?
restore hizo settings kama huwez tafuta simila modem fanya back up ya hiyo modem afu restore bila kufanya kitu afu kariri lile location ya File la back up
afu weka blicked modem afu restore