Zuia Sayayi
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 841
- 133
Habari za wakati wakuu!?
Nna cm yangu (NOKIA 3120classic)
shida ni kwamba kila nikitaka kudownload Game la GTA IV (1303 kb)
linagoma naandikiwa "file is too large to be stored"
nifanyeje ili niweze kudownload hilo game? Kwenye nokia yangu?
haha sio hivo bwana sio ram na wala sio s60 ila nokia s40 v3 hazikubali kudownload application yenye zaidi ya 1mb. kama game linazidi 1 mb unatakiwa utumie pc suite kuhamisha kwenye simu.
Mfano game la midnight pool lina zaid ya 1mb huwez download kwa phone kupitia s40v3 hadi utumie pc suite.
tehtehteh kwa nokia kwel hasa s40v3 inazingua kwasababu apps memory hw inakuwa limited vilevile hata s40v5 zinazngua pia nlitaka dictionary ya oxford ina 4MB Iligoma pia.
Lakini SAMSUNG inaki2 kinaitwa OTA TEST(google 4 it) ambapo unaweza zidisha hy limit ya 1MB kama aliyotaja chief.
game hlo lna suit kwenye symbians 60 kama n seriez na e seriez
vp kwa nokia kuzidisha hiyo limit?
ckweli ulipaswa kusema nakadharika kaka.ziko samsung corby zinakubali...
tehtehteh kwa nokia kwel hasa s40v3 inazingua kwasababu apps memory hw inakuwa limited vilevile hata s40v5 zinazngua pia nlitaka dictionary ya oxford ina 4MB Iligoma pia.
Lakini SAMSUNG inaki2 kinaitwa OTA TEST(google 4 it) ambapo unaweza zidisha hy limit ya 1MB kama aliyotaja chief.
kwenye samsung unaweza cheza na hii trick pia
*#52828378#
Yap hy ndo OTA TEST for samsung unatumia kubypass maximum jar files.