Msaada namna ya ku-apply vyuo via online

Msaada namna ya ku-apply vyuo via online

Mugare

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2016
Posts
678
Reaction score
852
Habari za wakati huu! naombeni kujulishwa namna ya kuapply chuo kupitia online application

Na msaada wa facult ya kusoma


Nmesoma HGL pass zangu ni nzuri
 
Kama unasoma kutafuta vyeti au kwenu mambo safi endelea na HGL yako, ila Kama unasoma uje upate Ajila nenda clinical officer, nursing, I. T, mineral college,Environmental college bwana shamba au mifugo,
 
Back
Top Bottom