Dah niko hapa mtunza siri, ukiambiwa jambo mezea na jifanye ni lako huwezi kulitoa kwa mtu yeyoteNatumai mu vyema wakuu!
Husika na heading hapo juu ni Jinsi Gani mtu unaeza ukajicontrol usiwe [HASHTAG]#Talkative[/HASHTAG] saana maana hiyo inachangia adi kusema mengine ambayo hukutaka kuyasema na baada ya hapo unaeza jikuta uko uncomfortable kwa kusema kitu usichokuwa umepangilia kusema!
Tusaidiane maana nami nipo ivo so nataka nihirekebishe mapema maana naona huu ndo wakati mwafaka sababu nimeanza kuaminiwa na wengi!
Naamini pia kuna wengine kama mimi wenye shida kama huenda wakasaidika na huu uzi
wazungu wanasema IF YOU ARE GOOD SECRET KEEPER THEN WAIT TO COUNT YOUR BLESSINGS!
amina sana kakaaGood Sindikizia Na Hii Zaburi 141;3 Ukiongea Sana Badae Una Halibu Na Bora Hata Kama Unatoa Habari Na Ukitaka Kutoa Mfano Toa Wa Kwenye Vitabu Vya Dini ,move, Ila Ucje Lopoka Et Flan Ni Hvi Na Hivi ,,,MUWE WASIKILIZAJI ILA SI WASEMAJI SANA
Amina sana Mkuu Nashukuru kwa Maono yako Makubwa!Themason nakukubali unajitahidi sana kujifunza hekima kuna bandiko lako la kuomba ushauri wa kuhitaji mtoto..anyway nilichogundua MUNGU ana nia njema sana na wewe.nitakushirikisha kitu hivi karibuni
Sawa......Unaweza kuanza kwa kusahau ulichoambiwa, kuyaacha mambo yote mikononi mwa wengine na ukikomaa sana unakuwa kila uambiwalo unalificha kama kaburi lifunikavyo maiti.