Aaron JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 3,019 Reaction score 4,695 Mar 8, 2013 #1 mwenye namba ya simu ya manager tanroads mwanza anisaidie...au kama unampango wa kuomba field tanroads tuwasiane..
mwenye namba ya simu ya manager tanroads mwanza anisaidie...au kama unampango wa kuomba field tanroads tuwasiane..
bornagain JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,383 Reaction score 1,360 Mar 8, 2013 #2 Sasa wewe unataka namba ya manager wa TANROADS Mwanza then unatafuta watu wa kuomba field TANROAD kupitia kwako.Inaonekana upo ndani ya TANROAD ndo maana unataka watu wanaotafuta field so na namba lazima uwe nayo na kama hauna basi wewe tapeli tu
Sasa wewe unataka namba ya manager wa TANROADS Mwanza then unatafuta watu wa kuomba field TANROAD kupitia kwako.Inaonekana upo ndani ya TANROAD ndo maana unataka watu wanaotafuta field so na namba lazima uwe nayo na kama hauna basi wewe tapeli tu