Kuna rafiki amepata tatizo la kadi ya mtoto anaambiwa haijalipiwa wakati yeye (mlipaji) anatumia ya kwake bila shida. Nimempa namba za hotline nilizokuwa nafahamu, zote hazipatikani?
0800110063
0800111163
Simu na emails za serikali zinazopatikana kwenye webiste huwa hazipatikani zikipatikana hazipokelewi na zikipokelewa utaambiwa ufike ofisi ya karibu yako[emoji28].
Hata mie namalizana nao kwenye hiyo hiyo namba, tena wana customer care nzuri sana kuliko hata ukifika ofisi zao... kikubwa awe mvumilivu tu anaweza akasubiri kuunganishwa hata baada ya dkk 15.
Hata mie namalizana nao kwenye hiyo hiyo namba, tena wana customer care nzuri sana kuliko hata ukifika ofisi zao... kikubwa awe mvumilivu tu anaweza akasubiri kuunganishwa hata baada ya dkk 15.