TheBuilder
JF-Expert Member
- Apr 21, 2014
- 237
- 212
heee bungu kwa uwa uwa
Mkuu ni kilometer ngapi kutoka gomsi mwisho,
Bei gani Mkuu kwa kila hekari? Tuwasiliane.
Kigamboni maeneo yapi, na ni bei gani?Kigamboni vipi
Huko ndiyo napataka.
Kama una mashamba mitaa hiyo weka wazi na bei zako
Ndio wapi hukoKiwangwa hekari 3 kilomita 4 kutoka barabarani.
Hiyo itakua ni Bagamoyo ShemNdio wapi huko
Aaah pouwa shemHiyo itakua ni Bagamoyo Shem