wakuu heshima kwenu, nahitaji kununua projector kwa shughuli mbambali za kuongeza kipato pia ushauri wa aina ipi ya kudumu na uimara wa stand zake nawasilisha......
Nunua Epson Ninayo natumia full HD 1080 huhitaji kuzima taa unatumia kawaida tu ni nzuri sana au nunua BenQ 521 full HD window 8 nayo unatumia bila kuzima taa

Mkuu tuko pamoja hapa. EPSON ni mwisho wa maneno. Niliinunua mwaka 2009 ikiwa mpya na bulb yake ni ya masaa 3,000 lakini mpaka leo inachapa mzigo na hiyo bulb wala sijaifanyia replacement ingawaje nilinunua bulb mbili kama spea. Namshauri mleta mada anunue EPSON.
wakuu heshima kwenu, nahitaji kununua projector kwa shughuli mbambali za kuongeza kipato pia ushauri wa aina ipi ya kudumu na uimara wa stand zake nawasilisha......
Mimi nina Epson Eb S18 mkuu pia nina BenQ 521 window 8 lakini Epson naikubali kwa bongo sijui mimi nilinunua Dubai kama laki 8 hivi za Bongo tazama hizo Baadhi ya picha zake hapo,hapo nimepiga wakati taa inawaka Sijazima taa,

mkuu unasema hukuzima taa lakini giza linaonekana pembeni ya picha ulizopiga! angalia na picha ya katikati kuna kitu hapo chini sijui ndio hiyo projector inaonekana ipo gizani. kudanganya kwingine hakuna faida yoyote!