Wakuu kuna ndugu yangu amepata safari ya kwenda mombasa, sasa hana passport na hajawahi kumiliki tangu azaliwe.... Swali ni je anaweza kupata pass akiwa pale horohoro au ni bora akaanza process makao makuu au kuna mtu yoyote anaweza kutusaidia[/QUO
Baada ya kupata fomu CT 5(Ai) kutoka idara ya uhamiaji utapata maelekezo ya nini cha kufanya
Pass ya muda inapatikana ofisi za wilaya mkoa wowote....
Yenyewe ni valid kwa mwaka ila safari ya kwenda na kurud kwa siku 7.. it means... mpakan aandike anaenda kaa siku 6 afu akae anavyotaka isizid tu mwaka.....
Au kama karibu awe anaenda kugonga boda anarudi....
Kwa mwenyej ni sh 15000 pasport... mgeni utapigwa kama hamsini
Nenda uhamiaji mkuunilikuwa natamani kufanya hivyo ila naona jamaa wasije wakanivurumisha bure ikawa balaa
Kama sio muoga... sio bahiri na mfuatiliaj.... unapata hapo hapo border.... ukikosa iyo wanakupa hata permit ya kuvuka palemeans naweza kupata hata nikiwa horohoro pale border ?
akiwa boarder atapata ila asafiri na picha passport size kama sita hivi atapewa ETD emergency Travelling DocumentWakuu kuna ndugu yangu amepata safari ya kwenda mombasa, sasa hana passport na hajawahi kumiliki tangu azaliwe.... Swali ni je anaweza kupata pass akiwa pale horohoro au ni bora akaanza process makao makuu au kuna mtu yoyote anaweza kutusaidia