sijaelewa
Senior Member
- Jul 11, 2015
- 101
- 57
Habari wana JF biashara, naomba mwenye uelewa anisaidie nitawezaje kupata general supplier wa ream papers (karatasi za kuprintia A4) mondi (mfano tu) na nyingine yeyote, ili niweze kununua na kuuza kwa jumla kama wholeseller (35,000 to 36,000).
Pia anijuze nitapata kwa shilingi ngapi? Minimum order ni box ngapi, mawasiliano yao pia nitashukuru. Kama hapa haiwezekana naweza nikakutumia email yangu. Ahsanteni sana
Pia anijuze nitapata kwa shilingi ngapi? Minimum order ni box ngapi, mawasiliano yao pia nitashukuru. Kama hapa haiwezekana naweza nikakutumia email yangu. Ahsanteni sana