Rahisi sana ndugu yanapatikana songea kitai na niserekeli wanayauza haya cha dalali wala mtu kati, nenda ofisi yamadini na maliasili utapata mwongozo unalipia bank wanakupatia risiti waenda yachota pale kitai. Hata juzi nilikuwa hapo yapo mengi sana.