Habari wanajukwaa kama kichwa cha uzi kinavyosema hapo juu, nimefungua youtube channel ivo nahitaji kuitangaza brand yangu kwa kutumia maiki na kuiwekea logo naomba msaada jinsi ya kupata maiki na box logo.
Nipata maeneo gani na gharama yake.
Shukrani
Sent using
Jamii Forums mobile app