Msaada nahitaji kuongea na raisi nifanyeje?

vnn

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
3,030
Reaction score
7,499
wanajukwaa mimi ni mtanzania wa kawaida kabisa na sina uongozi wowote serikalini,
hoja kuu niliyonayo hapa nahitaji kuongea na raisi Magufuli ana kwa ana lakini sijui ni procedure gani nipitie mpaka nimpate?
je,niende moja kwa moja hadi magogoni au?

naomba msaada kwa yeyote anayefahamu ni njia zipi nipitie mpaka niweze kumpata mweshimiwa mwenyewe au kama mtu ananamba yake ya simu au email anisaidie nina shida naye raisi wangu!

#NIKO_SERIOUS.
 
Unaenda kudai pesa za kampeni??
 
hata ukiongea nae hana msaada wowote kwako!
achana nae fanya mambo yako tu
 
USISUMBUKE sana.
Naamini yumo humu humu JF atakusikia tu!
Wee mwandikie naamini ataisoma hoja yako!
 
Kajiandikishe kwa mwenyekiti wa mtaa wake kule Chato, ukisikia tu kaenda kupumzika huko mkumbushe huyo mwenyekiti akuunganishe, Chato ni rahisi kumwona kuliko Magogoni kulikojaa wakuda.
Ila ukifanikiwa chochote tule pasu.
 
Muandikie humu humu JF.. Huwa anapitaga huenda akakuona.
By the way, kama ameshindwa kumsikiliza Mkapa na Mwinyi wewe ndio ataweza kukusikia?
 
kuna kitu unakitafuta wewe na utakipata sio mda maana ashasema hajaribiwi
 
Reactions: bb7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…