vnn
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 3,030
- 7,495
wanajukwaa mimi ni mtanzania wa kawaida kabisa na sina uongozi wowote serikalini,
hoja kuu niliyonayo hapa nahitaji kuongea na raisi Magufuli ana kwa ana lakini sijui ni procedure gani nipitie mpaka nimpate?
je,niende moja kwa moja hadi magogoni au?
naomba msaada kwa yeyote anayefahamu ni njia zipi nipitie mpaka niweze kumpata mweshimiwa mwenyewe au kama mtu ananamba yake ya simu au email anisaidie nina shida naye raisi wangu!
#NIKO_SERIOUS.