Tisha-TOTO JF-Expert Member Joined Feb 10, 2010 Posts 1,175 Reaction score 604 Aug 15, 2011 #1 Wapendwa naomba msaada wenu. Naomba kujua wapi hapa Dar wanauza kanda/CD za mechi mbalimbali za futiboli zilizorekodiwa?? Kwa mfano: Yanga v Simba Real Madrid v Barca nk.
Wapendwa naomba msaada wenu. Naomba kujua wapi hapa Dar wanauza kanda/CD za mechi mbalimbali za futiboli zilizorekodiwa?? Kwa mfano: Yanga v Simba Real Madrid v Barca nk.