Msaada. Nahitaji kujifunza kupiga kinanda kwa kutumia tutorial

GANG MO

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
2,123
Reaction score
2,271
Habari za jumapili ndugu zangu. Nimekuwa nikivutiwa sana na sanaa ya upigaji wa kinanda mpaka nimeamua kununua na kukiweka nyumbani lakini sijui chochote katika upigaji wa kinanda, nafikilia kujifunza kwa kutumia tutorial. Kwa wale wataalamu wa music, je inawezekana nikawa mpigaji mzuri kupitia elimu ya tutorial? Na kama inawezekana, naombeni mnisaidie link zenye tutorial nzuri for bigginer. Natanguliza shukrani kwenu.
 
Mimi ninapenda sanaa kujua kupiga kinanda

Ninategemea kuwa trained na mwl. mmoja pale kanisa la St. James Anglican Arusha

Kama wewe ni Mkristo ukienda kwenye kanisa lolote na kuonana na waalimu wa kwaya hasa Roman na Lutheran ni rahisi sana kukufunza hilo
 
ngoja nitawatafuta lakini napenda nijifunze kwa tutorial pia
 
MH, NDUGU NAKUSHAURI UTAFUTE MWALIMU, MAENEO YA MAKANISA MARA NYINGI KUNAKUWA NA WALIMU WA MUZIKI. KWA MAELEKEZO YA MAANDISHI AMA VIDEO USIFIKIRIE HILO.
KUNA WATU WANAFUNDISHWA KWA VITENDO NA MWALIMU NA WANACHEMKA NAKUSHAURI TAFUTA MWALIMU
ila unaweza jaribu kutazama kwenye hii youtube labda unaambulia
Piano Tutorial Easy
 
[HASHTAG]#wanatamani[/HASHTAG]
nashukuru sana kwa ushauri wako, Mungu akubariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…