Msaada: Nahitaji kuingiza WhatsApp kwenye Ipad yangu

kalendi

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
1,327
521
Wasaalamu wandugu!

Jamaa yangu kaniletea iPad sijui hata model haina WhatsApp. Nahangaika namna ya kuingiza yangu jana bado inanizingua.

Msaada wandugu nifanyeje ili niweke WhatsApp?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…