J John porter Member Joined Jul 8, 2013 Posts 65 Reaction score 28 Oct 22, 2013 #1 Nimejaribu kuiangalia kwenye blackberry world siipati, nikipitia Google ndyo sielew kabisaa.. Please kama kuna mwenye link itakayoniwezesha kui-download instagram naomba anisaidie
Nimejaribu kuiangalia kwenye blackberry world siipati, nikipitia Google ndyo sielew kabisaa.. Please kama kuna mwenye link itakayoniwezesha kui-download instagram naomba anisaidie
D deecharity JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 936 Reaction score 515 Oct 22, 2013 #2 haisupport..
J John porter Member Joined Jul 8, 2013 Posts 65 Reaction score 28 Oct 22, 2013 Thread starter #3 Hata kwa njia za panya
D deecharity JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 936 Reaction score 515 Oct 22, 2013 #4 John porter said: Hata kwa njia za panya Click to expand... yah nishajaribu kila njia ilikata.