Habari zenu ngugu zangu poleni na majukumu ya kila siku ni imani yangu kwamba wote ni wazima wa afya.
Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu ni kwamba shida yangu kuu nahitaji kuunganishwa pahala ambapo naweza nikafanya kazi kama dereva wa uber au bolt nina uzoefu wa kuendesha gari ndogo ndogo kwa muda wa miaka minne sasa
Mimi naishi Daresalaam Kigamboni na leseni yangu ni ya Daraja E
Hivyo ndugu zangu kwa mwenye uwezo wa kunishika mkono katika suala hili nitamshukuru sana