Pionaire
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 1,595
- 1,135
Habari wana JF, nimejaribu kutafiti mitandaoni kuhusiana na upatikanaji wa hiyo bidhaa(hizo boxes) hapo pichani lakini bado sijafanikiwa kwa hapa nchini kwetu.
Nawezaje kupata hizo boxes sample ya zile zinazohifadhi viatu vipya vinapokuwa madukani hata kama zitakuwa plain tu bila chapa/Nembo yoyote au bila rangi pia zitanifaa. Ninavyosema nazihitaji simaanishi eti moja au mawili bali nataka kupata kwa bei ya jumla maana naweza nunua kwa piece 100 - 500 au zaidi kwa siku na bei yake per piece ni Tsh ngap?
Kwa anayejua , HIVYO NAOMBA MWENYE KUFAHAMU MAHALI AMBAPO NAWEZA PATA HIYO BIDHAA HAPA NCHINI ESPECIALLY KWA DAR-ES-SALAAM ANIPE MWONGOZO.
"Ni hayo tu Nawasilisha wanabodi, Nawatakia mapambano salama dhidi ya COVID-19"